Sunday, April 22, 2012

POWERED & MANNUAL MOWER FOR SALE-USED

Wadau hizi za kusukuma kwa mkono zipo kama 10 hivi, zipo safi kabisa na zinafanya kazi, kama kawa tuwasilane uchukue mzigo bila kuchelewa
Haya wadau mower  inauzwa  (BRIGGS & STRATON) jina kubwa wenyewe mnajua, kwa wale wenye kazi za kukata nyasi kwenye majumba na  maofisini. ni nzima inafanya kazi. ring piston na starter kit ni mpya ilifanyiwa service ya nguvu tuwasiliane mchukue mzigo

Share:

0 comments:

Post a Comment