Home »
» PRE-EXPORT VERIFICATION OF CONFORMITY TO STANDARDS
|
wajasilia mali wadogo na wakubwa tulikuwa na seminar elekezi kuhusu pre-shipment inspection itakayokuwa inasimamiwa na TBS kuhakikisha bidhaa feki haziingii inchini. maofisa wa TBS walisikiliza changamoto zinnazowakabili wajasilia mali wadogo na kusisitiza kuzifanyia kazi likiwamo ada za utaratibu huu kuwa juu |
0 comments:
Post a Comment