nikiwa na viongozi wa kijiji cha maguruwe mgeta mororgoro tukitafuta chanzo kizuri cha maji kwa ajili ya mradi wa maji ya chupa. |
baadhi ya vyanzo maeneo ya kijiji cha bunduki mgeta |
Mzee wa msafara mzee mdami, alivaa kofia nyeupe akiwa naviongozi wa kijiji cha maguruwe mgeta morogoro |
miundombinu inaruhusu kwa uwekezaji mgete |
0 comments:
Post a Comment