Friday, March 16, 2012

WADAU NILIPATA BAHATI YA KUTEMBELEWA NA MDAU WA THE CITIZEN

Haya wadau nilipata bahati ya kutembelewa na mwandishi wa habari wa THE CITIZEN, baada ya yeye kutembelea blog yetu hii. nikaona sio vibaya kutumia fursa hii kujitanganza brand yangu na kuelezea bottled water industries overview
Share:

0 comments:

Post a Comment