Wednesday, October 5, 2011

FUMIGATION, ENVIRONMENT AND ANIMALS

wadau blog imenza kuchangamka huyu ndugu anafanya fumigation, ya mazimgira na wanyama ni noma, issue za viroboto na   utitiri kwa wanyama umepata ufumbuzi, anaogesha mmbwa kama mtoto mdogo




kwa mawasilano piga 0757-104667,0716-382869 anakuja fasta kama ni dar, mikoani mtafanya makubaliano, bei zake ni poa

akimaliza kumuogesha mbwa anavamia banda la mbwa, baada ya hapo anamalizia na mazingira. hakuna kurudia rudia kazi akikufanyia kazi mara moja ni baada ya miezi miwili mbaka mitatu
Share:

0 comments:

Post a Comment