| tukishangilia ushindi baada ya kukuta chanzo cha chemchem yenye maji safi (clystal clear) |
| nikiwa na wadau, kushoto kabisa ni mzee bonny mally, anafahamu mito yote ya marangu na historia yake |
| mdau kati kati akionja maji kabla ya kuchukua sample |
| tukiwa kwenye majadiliano ya kina na wadau |
| tulihakikisha tunapata sample ya kutosha for full physical, chemical and micro water analysis |











